Psalms 33:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikusanya maji ya bahari kama katika chupa, vilindi vya bahari akavifunga ghalani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Anayakusanya maji ya bahari kama kwenye chungu; vilindi vya bahari anaviweka katika ghala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hukusanya maji ya bahari chungu chungu, Huviweka vilindi katika ghala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikusanya maji ya bahari kama katika chupa, vilindi vya bahari akavifunga ghalani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ameyakusanya maji ya bahari kama kwenye mtungi; vilindi vya bahari ameviweka katika ghala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ameyakusanya maji ya bahari kama kwenye chungu; vilindi vya bahari ameviweka katika ghala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hukusanya maji ya bahari chungu chungu, Huviweka vilindi katika ghala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikusanya maji ya bahari kama katika chupa, vilindi vya bahari akavifunga ghalani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji ya bahari huyakusanya, kama yamo chunguni, navyo vilindi huviweka mahali pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hukusanya maji ya bahari chungu chungu, Huviweka vilindi katika ghala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikusanya maji ya bahari kama katika chupa, akavifunga vilindi vya bahari ndani ya gala.