Psalms 33:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dunia yote na imwogope Mwenyezi Mungu, watu wote wa dunia wamche.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi yote na imwogope Bwana, Wote wakaao duniani na wamche.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dunia yote na imwogope BWANA, watu wote wa dunia wamche.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dunia yote na imwogope bwana, watu wote wa dunia wamche.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi yote na imwogope BWANA, Wote wakaao duniani na wamche.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dunia yote na imwogope Mwenyezi-Mungu! Wakazi wote duniani, wamche!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti zimwogope Bwana nchi zote, nao wote wakaao ulimwenguni sharti wamche.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi yote na imwogope BWANA, Wote wakaao duniani na wamche.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Dunia yote imwogope Yawe! Wakaaji wote wa dunia wamwabudu!