Psalms 33:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana alisema na ulimwengu ukawako; alitoa amri nao ukajitokeza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana Yeye alisema, ikawa; Na Yeye aliamuru, ikasimama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana alisema na ulimwengu ukawako; alitoa amri nao ukajitokeza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, aliamuru na ikasimama imara.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana Yeye alisema, na ikawa; Na Yeye aliamuru, ikaumbika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana alisema na ulimwengu ukawako; alitoa amri nao ukajitokeza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yeye ayasemayo mara huwapo; Yeye ayaagizayo hutokea papo hapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana Yeye alisema, ikawa; Na Yeye aliamuru, ikasimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana alisema, na ulimwengu ukakuwa; alitoa amri, nao ukajitokeza.