Psalms 34:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi alipojifanya mwendawazimu mbele ya Abimeleki) Nitamtukuza Mwenyezi-Mungu nyakati zote, sitaacha kamwe kuzitamka sifa zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamtukuza Mwenyezi Mungu nyakati zote, sifa zake zitakuwa mdomoni mwangu siku zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamhimidi Bwana kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitamtukuza Mwenyezi-Mungu nyakati zote, sitaacha kamwe kuzitamka sifa zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi, Alipojifanya Mwendawazimu Mbele Ya Abimeleki, Ambaye Alimfukuza, Naye Akaondoka) Nitamtukuza BWANA nyakati zote, sifa zake zitakuwa midomoni mwangu siku zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamtukuza bwana nyakati zote, sifa zake zitakuwa midomoni mwangu siku zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamhimidi BWANA kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitamtukuza Mwenyezi-Mungu nyakati zote, sitaacha kamwe kuzitamka sifa zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Nitamtukuza Bwana siku zote, mashangilio yake yakae midomoni mwangu pasipo kukoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamhimidi BWANA kila wakati, Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi alipojifanya mwenda-wazimu mbele ya mufalme Abimeleki naye akamufukuza na Daudi akajiendea.