Psalms 34:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata wanasimba hutindikiwa na kuona njaa; lakini wanaomtafuta Mwenyezi-Mungu hawakosi chochote chema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana simba wenye nguvu hutindikiwa na kuona njaa, bali wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu hawatakosa kitu chochote kilicho chema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana-simba hutindikiwa, huona njaa; Bali wamtafutao Bwana hawatahitaji kitu cho chote kilicho chema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata wanasimba hutindikiwa na kuona njaa; lakini wanaomtafuta Mwenyezi-Mungu hawakosi chochote chema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana simba wenye nguvu hutindikiwa na kuona njaa, bali wale wamtafutao BWANA hawatakosa kitu cho chote kilicho chema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana simba wenye nguvu hutindikiwa na kuona njaa, bali wale wamtafutao bwana hawatakosa kitu chochote kilicho chema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanasimba hutindikiwa, na kuona njaa; Bali wamtafutao BWANA hawapungukiwi kitu chochote kilicho chema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata wanasimba hutindikiwa na kuona njaa; lakini wanaomtafuta Mwenyezi-Mungu hawakosi chochote chema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa simba hukosa na kuona njaa, lakini hakuna chema, watakachokikosa wamtafutao Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana-simba hutindikiwa, huona njaa; Bali wamtafutao BWANA hawatahitaji kitu cho chote kilicho chema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwabudu Yawe, enyi watakatifu wake, maana wenye kumwabudu hawakosewi kitu.