Psalms 34:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoni enyi vijana mkanisikilize, nami nitawafundisha kumcha Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni, watoto wangu, mnisikilize, nitawafundisha kumcha Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njoni, enyi wana, mnisikilize, Nami nitawafundisha kumcha Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoni enyi vijana mkanisikilize, nami nitawafundisha kumcha Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni, watoto wangu, mnisikilize, nitawafundisha kumcha BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni, watoto wangu, mnisikilize, nitawafundisha kumcha bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njoni, enyi wana, mnisikilize, Nami nitawafundisha kumcha BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoni enyi vijana mkanisikilize, nami nitawafundisha kumcha Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njoni, ninyi wana, mnisikilize, kumwogopa Bwana ndiko, nitakakowafundisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njoni, enyi wana, mnisikilize, Nami nitawafundisha kumcha BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata simba wakali wanakosewa na kusikia njaa, lakini wanaomutafuta Yawe hawakosewi chochote kizuri.