Psalms 34:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, watamani kufurahia maisha, kuishi maisha marefu na kufurahia mema?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote kati yenu anayependa uzima na kutamani kuziona siku nyingi njema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani mtu yule apendezwaye na uzima, Apendaye siku nyingi apate kuona mema?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, watamani kufurahia maisha, kuishi maisha marefu na kufurahia mema?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote kati yenu anayependa maisha na kutamani kuziona siku nyingi njema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote kati yenu anayependa uzima na kutamani kuziona siku nyingi njema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani atamaniye uzima na atakaye kuishi, Siku nyingi afurahie mema?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, watamani kufurahia maisha, kuishi maisha marefu na kufurahia mema?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu apendezwaye na uzima yuko wapi? naye apendaye siku za kuona mema?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani mtu yule apendezwaye na uzima, Apendaye siku nyingi apate kuona mema?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mukuje, enyi vijana munisikilize, nami nitawafundisha kumwabudu Yawe.