Psalms 34:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, acha kusema mabaya, na kuepa kusema uongo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi auzuie ulimi wake na mabaya, na midomo yake kutokana na kusema uongo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uuzuie ulimi wako na mabaya, Na midomo yako na kusema hila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, acha kusema mabaya, na kuepa kusema uongo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
auzuie ulimi wake na mabaya na midomo yake kutokana na kusema uongo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi auzuie ulimi wake na mabaya, na midomo yake kutokana na kusema uongo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uuzuie ulimi wako na mabaya, Na midomo yako na kusema hila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, acha kusema mabaya, na kuepa kusema uongo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uulinde ulimi wako, usiseme mabaya, nayo midomo yako, isiseme madanganyifu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uuzuie ulimi wako na mabaya, Na midomo yako na kusema hila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unatamani kufurahia maisha, kuishi maisha marefu na kufurahia mazuri?