Psalms 34:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwaangalia waadilifu, na kusikiliza malalamiko yao;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Macho ya Mwenyezi Mungu huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwaangalia waadilifu, na kusikiliza malalamiko yao;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Macho ya BWANA yako kwa wenye haki na masikio yake yako makini kusikia kilio chao;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Macho ya bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza kilio chao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwaangalia waadilifu, na kusikiliza malalamiko yao;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Macho ya Bwana huwatazama walio waongofu, masikio yake huvisikiliza vilio vyao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Macho ya BWANA huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujiepushe na uovu, utende mazuri; utafute amani na kuifuatilia.