Psalms 34:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini huwapinga watu watendao maovu, awafutilie mbali kutoka duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uso wa Mwenyezi Mungu uko kinyume na watendao maovu, ili kufuta kumbukumbu lao duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini huwapinga watu watendao maovu, awafutilie mbali kutoka duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
uso wa BWANA uko kinyume na watenda mabaya, kufuta kumbukumbu lao duniani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uso wa bwana uko kinyume na watendao maovu, ili kufuta kumbukumbu lao duniani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uso wa BWANA ni juu ya watenda mabaya, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini huwapinga watu watendao maovu, awafutilie mbali kutoka duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uso wa Bwana huwapingia wafanyao mabaya, awang'oe, wasikumbukwe tena katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uso wa BWANA ni juu ya watenda mabaya, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawaangalia watu wa haki, na kusikiliza malalamiko yao;