Psalms 34:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waadilifu wakimlilia Mwenyezi-Mungu yeye huwasikia, na kuwaokoa katika taabu zao zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wenye haki hulia, naye Mwenyezi Mungu huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walilia, naye Bwana akasikia, Akawaponya na taabu zao zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waadilifu wakimlilia Mwenyezi-Mungu yeye huwasikia, na kuwaokoa katika taabu zao zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wenye haki hulia, naye BWANA huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wenye haki hulia, naye bwana huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walilia, naye BWANA akasikia, Akawaponya na taabu zao zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waadilifu wakimlilia Mwenyezi-Mungu yeye huwasikia, na kuwaokoa katika taabu zao zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waongofu wanapoita, Bwana huwasikia, katika masongano yao yote hutaka kuwaponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walilia, naye BWANA akasikia, Akawaponya na taabu zao zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini anawapinga watu wanaotenda maovu, kusudi afute majina yao kutoka katika dunia.