Psalms 34:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu yu karibu na waliovunjika moyo, na huwaokoa waliopondeka roho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo na huwaokoa waliopondeka roho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana yu karibu na waliovunjika moyo, na huwaokoa waliopondeka roho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na huwaokoa waliopondeka roho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana yuko karibu kwao waliovunjika mioyo, wapondekao roho huwaokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA yu karibu nao waliovunjika moyo, Na waliopondeka roho huwaokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa haki wakimulilia Yawe, yeye anawasikia, na kuwaokoa katika taabu zao zote.