Psalms 34:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mateso ya mwadilifu ni mengi, lakini Mwenyezi-Mungu humwokoa kutoka yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenye haki ana mateso mengi, lakini Mwenyezi Mungu humwokoa nayo yote,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini Bwana humponya nayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mateso ya mwadilifu ni mengi, lakini Mwenyezi-Mungu humwokoa kutoka yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwenye haki ana mateso mengi, lakini BWANA humwokoa nayo yote,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenye haki ana mateso mengi, lakini bwana humwokoa nayo yote,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini BWANA humponya na hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mateso ya mwadilifu ni mengi, lakini Mwenyezi-Mungu humwokoa kutoka yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli, mabaya mengi humpata aliye mwongofu, lakini katika hayo yote Bwana humponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini BWANA humponya nayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni karibu na wenye kuvunjika moyo; anawaokoa wote waliokata tamaa kabisa.