Psalms 34:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi-Mungu, wanyonge wasikie na kufurahi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nafsi yangu itajisifu katika Mwenyezi Mungu, walioonewa watasikia na wafurahi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi-Mungu, wanyonge wasikie na kufurahi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nafsi yangu itajisifu katika BWANA walioonewa wasikie na wafurahi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nafsi yangu itajisifu katika bwana, walioonewa watasikia na wafurahi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika BWANA nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie na kufurahi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nitaona fahari juu ya Mwenyezi-Mungu, wanyonge wasikie na kufurahi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho yangu inayejivunia, ndiye Bwana, wakiwa na wayasikie, wapate kufurahi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika BWANA nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitamutukuza Yawe nyakati zote, sitaacha hata kidogo kutaja sifa zake.