Psalms 34:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huvilinda viungo vya mwili wake wote, hakuna hata mfupa wake mmoja utakaovunjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
huhifadhi mifupa yake yote, hata mmoja hautavunjika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huihifadhi mifupa yake yote, Haukuvunjika hata mmoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huvilinda viungo vya mwili wake wote, hakuna hata mfupa wake mmoja utakaovunjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
huhifadhi mifupa yake yote, hata mmoja hautavunjika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
huhifadhi mifupa yake yote, hata mmoja hautavunjika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huihifadhi mifupa yake yote, Usivunjike hata mmoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huvilinda viungo vya mwili wake wote, hakuna hata mfupa wake mmoja utakaovunjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo mifupa yake yote huiangalia, hata mmoja miongoni mwao usivunjike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huihifadhi mifupa yake yote, Haukuvunjika hata mmoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mateso ya mutu wa haki ni mengi, lakini Yawe anamwokoa kutoka katika yote.