Psalms 34:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ubaya huwaletea waovu kifo; wanaowachukia waadilifu wataadhibiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ubaya utamuua mtu mwovu, nao adui za mwenye haki watahukumiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uovu utamwua asiye haki, Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ubaya huwaletea waovu kifo; wanaowachukia waadilifu wataadhibiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ubaya utamwua mtu mwovu, adui za mwenye haki watahukumiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ubaya utamuua mtu mwovu, nao adui za mwenye haki watahukumiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uovu utamwua asiye haki, Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ubaya huwaletea waovu kifo; wanaowachukia waadilifu wataadhibiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ubaya utamwua asiyemcha Mungu, nao wachukiao wongofu watakuwa wenye manza;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uovu utamwua asiye haki, Nao wamchukiao mwenye haki watahukumiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Analinda viungo vya mwili wake wote, hakuna hata mufupa wake mumoja utakaovunjwa.