Psalms 34:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huokoa maisha ya watumishi wake, wote wanaomkimbilia hawataadhibiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huwakomboa watumishi wake, yeyote anayemkimbilia yeye hatahukumiwa kamwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huzikomboa nafsi za watumishi wake, Wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huokoa maisha ya watumishi wake, wote wanaomkimbilia hawataadhibiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huwakomboa watumishi wake, wale wanaomkimbilia yeye hawatahukumiwa hata mmoja wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huwakomboa watumishi wake, yeyote anayemkimbilia yeye hatahukumiwa kamwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huzikomboa nafsi za watumishi wake, Wote wamkimbiliao hawatahukumiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huokoa maisha ya watumishi wake, wote wanaomkimbilia hawataadhibiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini roho zao watumishi wake Bwana huzikomboa, wao wote wamkimbiliao, wawe watu wasio wenye manza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huzikomboa nafsi za watumishi wake, Wala hawatahukumiwa wote wamkimbiliao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ubaya unawaletea waovu kifo; wanaowachukia watu wa haki wataazibiwa.