Psalms 34:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtukuzeni Mwenyezi-Mungu pamoja nami, sote pamoja tulisifu jina lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtukuzeni Mwenyezi Mungu pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtukuzeni Bwana pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtukuzeni Mwenyezi-Mungu pamoja nami, sote pamoja tulisifu jina lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtukuzeni BWANA pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtukuzeni bwana pamoja nami, naam, na tulitukuze jina lake pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtukuzeni BWANA pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtukuzeni Mwenyezi-Mungu pamoja nami, sote pamoja tulisifu jina lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuzeni Bwana pamoja nami! Na tulitukuze pamoja jina lake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtukuzeni BWANA pamoja nami, Na tuliadhimishe jina lake pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nitajisifu kwa ajili ya Yawe; wanyenyekevu wasikie na kufurahi.