Psalms 34:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilimwomba Mwenyezi-Mungu naye akanijibu, na kuniondoa katika hofu zangu zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilimtafuta Mwenyezi Mungu naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalimtafuta Bwana akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilimwomba Mwenyezi-Mungu naye akanijibu, na kuniondoa katika hofu zangu zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilimtafuta BWANA naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilimtafuta bwana naye akanijibu, akaniokoa kwenye hofu zangu zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilimtafuta BWANA, naye akanijibu, Akaniokoa na hofu zangu zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilimwomba Mwenyezi-Mungu naye akanijibu, na kuniondoa katika hofu zangu zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipomtafuta Bwana, akaniitikia, katika woga wangu wote akaniponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalimtafuta BWANA akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumutukuze Yawe pamoja nami, wote pamoja tulisifu jina lake.