Psalms 34:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maskini alimlilia Mwenyezi-Mungu, naye akamsikia, na kumwokoa katika taabu zake zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maskini huyu alimwita Mwenyezi Mungu, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maskini huyu aliita, Bwana akasikia, Akamwokoa na taabu zake zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maskini alimlilia Mwenyezi-Mungu, naye akamsikia, na kumwokoa katika taabu zake zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maskini huyu alimwita BWANA akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maskini huyu alimwita bwana, naye akamsikia, akamwokoa katika taabu zake zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maskini huyu aliita, BWANA akasikia, Akamwokoa na taabu zake zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maskini alimlilia Mwenyezi-Mungu, naye akamsikia, na kumwokoa katika taabu zake zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama yuko mnyonge aliyeita, Bwana husikia, katika masongano yake yote humwokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maskini huyu aliita, BWANA akasikia, Akamwokoa na taabu zake zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumugeukie Mungu mupate kufurahi; nanyi hamutafezeheka hata kidogo.