Psalms 34:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Malaika wa Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wamchao, na kuwaokoa katika hatari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Malaika wa Mwenyezi Mungu hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Malaika wa Bwana hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wamchao, na kuwaokoa katika hatari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Malaika wa BWANA hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Malaika wa bwana hufanya kituo akiwazunguka wale wamchao, naye huwaokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Malaika wa BWANA huwazungukia, Wamchao na kuwaokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wamchao, na kuwaokoa katika hatari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Malaika wa Bwana huwakingia wao wamwogopao, huwa kwao pande zote, apate kuwaponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Malaika wa BWANA hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao na kuwaokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Masikini alimulilia Yawe, naye akamusikia, na kumwokoa katika taabu zake zote.