Psalms 34:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jaribuni mwone Mwenyezi-Mungu alivyo mwema. Heri mtu anayekimbilia usalama kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Onjeni mwone kwamba Mwenyezi Mungu ni mwema; heri mtu yule anayemkimbilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jaribuni mwone Mwenyezi-Mungu alivyo mwema. Heri mtu anayekimbilia usalama kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Onjeni mwone kwamba BWANA ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Onjeni mwone kwamba bwana ni mwema, heri mtu yule anayemkimbilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Onjeni muone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumainia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jaribuni mwone Mwenyezi-Mungu alivyo mwema. Heri mtu anayekimbilia usalama kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Onjeni, mwone, ya kuwa Bwana ni mwema! Mwenye shangwe ni mtu amkimbiliaye.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Malaika wa Yawe anawalinda wote wanaomwabudu, na kuwaokoa kutoka katika hatari.