Psalms 34:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mcheni Mwenyezi-Mungu enyi watakatifu wake; maana wenye kumcha hawatindikiwi na kitu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mcheni Mwenyezi Mungu enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mcheni Bwana, enyi watakatifu wake, Yaani, wamchao hawahitaji kitu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mcheni Mwenyezi-Mungu enyi watakatifu wake; maana wenye kumcha hawatindikiwi na kitu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mcheni BWANA enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na kitu cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mcheni bwana enyi watakatifu wake, kwa maana wale wamchao hawapungukiwi na chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake, Maana, wamchao hawapungukiwi kitu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mcheni Mwenyezi-Mungu enyi watakatifu wake; maana wenye kumcha hawatindikiwi na kitu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwogopeni Bwana, ninyi watakatifu wake! Kwani kwao wamwogopao hakuna ukosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mcheni BWANA, enyi watakatifu wake, Yaani, wamchao hawahitaji kitu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupime muone jinsi Yawe ni muzuri. Heri mutu anayekimbilia kwake.