Psalms 35:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Zaburi ya Daudi) Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, pingana na wale wanaopingana nami, upigane na hao wanaopigana nami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, pingana na wale wanaopingana nami, upigane na hao wanaopigana nami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, pingana na wale wanaopingana nami, upigane na hao wanaopigana nami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uwapinge hao wanaonipinga, Upigane nao wanaopigana nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, uwapinge hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, gombana nao wanigombezao! Pigana nao wanipiganishao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zaburi ya Daudi. Uwapinge, ee Yawe, hao wanaonipinga; uwashambulie hao wanaonishambulia.