Psalms 35:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mashahidi wakorofi wanajitokeza; wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mashahidi wakatili wanainuka, wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mashahidi wakorofi wanajitokeza; wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mashahidi wakatili wanainuka, wananiuliza kwa mambo nisiyoyajua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mashahidi wakatili wanainuka, wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mashahidi wakorofi wanajitokeza; wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mashahidi wa ukorofi wananiinukia, wananiuliza mambo, nisiyoyajua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Washuhuda wakorofi wanajitokeza, wananiuliza mambo nisiyoyajua.