Psalms 35:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wananilipa mema yangu kwa mabaya; nami binafsi nimebaki katika ukiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wananilipa baya kwa jema na kuiacha nafsi yangu ukiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wananilipa mema yangu kwa mabaya; nami binafsi nimebaki katika ukiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wananilipa baya kwa jema na kuiacha nafsi yangu ukiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wananilipa baya kwa jema na kuiacha nafsi yangu ukiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wananilipa mema yangu kwa mabaya; nami binafsi nimebaki katika ukiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mema, niliyowatendea, wanayalipa na kunifanyizia mabaya, ukiwa wa kuwa peke yake uipate roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wananilipa mabaya kwa mazuri; nami pekee nimebaki ukiwa.