Psalms 35:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kana kwamba namlilia rafiki au ndugu yangu. Nilikwenda huko na huko kwa huzuni, kama mtu anayeomboleza kifo cha mama yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
niliendelea kuomboleza kama vile wao ni rafiki au ndugu. Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni kama ninayemwombolezea mama yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalijifanya kama kwamba ni rafiki au ndugu yangu, Naliinama nikilia kama aliyefiwa na mamaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kana kwamba namlilia rafiki au ndugu yangu. Nilikwenda huko na huko kwa huzuni, kama mtu anayeomboleza kifo cha mama yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
niliendelea kuomboleza kama vile wao ni rafiki au ndugu. Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni kama vile ninayemwombolezea mama yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
niliendelea kuomboleza kama vile wao ni rafiki au ndugu. Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni kama ninayemwombolezea mama yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nilisikitika kana kwamba ni rafiki au ndugu yangu, Niliinama nikilia kama aliyefiwa na mamaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kana kwamba namlilia rafiki au ndugu yangu. Nilikwenda huko na huko kwa huzuni, kama mtu anayeomboleza kifo cha mama yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niliwaendea, kama ni ndugu yangu, niliyempenda kweli, kama amwombolezeaye mama niliinamisha kichwa kwa kusikitika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalijifanya kama kwamba ni rafiki au ndugu yangu, Naliinama nikilia kama aliyefiwa na mamaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikakuwa kama ninamulilia rafiki au ndugu yangu. Nilikwenda huku na huko kwa huzuni, kama mutu anayeomboleza kifo cha mama yake.