Psalms 35:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu ambao huwadhihaki vilema, walinisagia meno yao kwa chuki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki, wamenisagia meno.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama wenye mzaha wakikufuru karamuni Wananisagia meno.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu ambao huwadhihaki vilema, walinisagia meno yao kwa chuki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama watu wasiomcha Mungu wamedhihaki, wamenisagia meno.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki, wamenisagia meno.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bila heshima walinidhihaki kupindukia, Wakanisagia meno yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu ambao huwadhihaki vilema, walinisagia meno yao kwa chuki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao wenye ulafi wa matusi huyafyoza nayo ya Kimungu, kisha hukereza meno kwa ajili yangu mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama wenye mzaha wakikufuru karamuni Wananisagia meno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinichekelea, walinisagia meno.