Psalms 35:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini? Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao; uyaokoe maisha yangu na simba hao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, utatazama hadi lini? Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, okoa uhai wangu wa thamani kutokana na simba hawa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, hata lini utatazama? Uiokoe nafsi yangu na maharabu yao, Na mpenzi wangu na wana-simba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini? Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao; uyaokoe maisha yangu na simba hao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, utatazama mpaka lini? Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, uhai wangu wa thamani kutokana na simba hawa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, utatazama mpaka lini? Niokoe maisha yangu na maangamizi yao, uhai wangu wa thamani kutokana na simba hawa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, utatazama hadi lini? Uiokoe nafsi yangu kutoka kwenye maangamizi yao, Na maisha yangu kutoka kwa wanasimba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, utatazama tu mpaka lini? Uniokoe kutoka kwenye mashambulio yao; uyaokoe maisha yangu na simba hao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, utawatazama tu mpaka lini? Irudishe roho yangu uzimani, wasiimalize! Nitoe kwenye wana wa simba! Kwani niko peke yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, hata lini utatazama? Uiokoe nafsi yangu na maharabu yao, Na mpenzi wangu na wana-simba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, utaangalia tu mpaka wakati gani? Uniokoe kutoka mashambulio yao; uokoe maisha yangu kutoka simba wakali hao.