Psalms 35:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo nitakushukuru kati ya kusanyiko kubwa la watu; nitakutukuza kati ya jumuiya kubwa ya watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa, nitakusifu katikati ya watu wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitakushukuru katika kusanyiko kubwa; Nitakusifu kati ya watu wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo nitakushukuru kati ya kusanyiko kubwa la watu; nitakutukuza kati ya jumuiya kubwa ya watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa, nitakusifu katikati ya watu wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa, nitakusifu katikati ya watu wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakushukuru katika kusanyiko kubwa; Nitakusifu kati ya watu wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo nitakushukuru kati ya kusanyiko kubwa la watu; nitakutukuza kati ya jumuiya kubwa ya watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo nitakushukuru, wengi wakutanikapo, na kukuimbia kwenye watu walio wenye nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitakushukuru katika kusanyiko kubwa; Nitakusifu kati ya watu wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi nitakushukuru kati ya kusanyiko kubwa la watu; nitakutukuza kati ya kundi kubwa la watu.