Psalms 35:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwaache maadui hao wabaya wanisimange, hao wanichukiao bure wafurahie mateso yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiwaache wale wanaonisimanga, wale ambao ni adui zangu bila sababu; usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu wakonyeze jicho kwa hila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walio adui zangu bure wasinisimange, Wanaonichukia bila sababu wasining'ong'e.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwaache maadui hao wabaya wanisimange, hao wanichukiao bure wafurahie mateso yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiwaache wale wanaonisimanga, wale ambao ni adui zangu bila sababu; usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu wakonyeze jicho kwa hila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiwaache wale wanaonisimanga, wale ambao ni adui zangu bila sababu; usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu wakonyeze jicho kwa hila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walio adui zangu bure wasinisimange, Wanaonichukia bila sababu wasining'ong'e.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwaache maadui hao wabaya wanisimange, hao wanichukiao bure wafurahie mateso yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapendao uwongo wasinifurahie, wala wasinitazame na jicho baya wanichukiao bure!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walio adui zangu bure wasinisimange, Wanaonichukia bila sababu wasining’ong’e.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiwaache waadui hao wabaya wanisimange, hao wanaonichukia bure, wafurahie mateso yangu.