Psalms 35:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo, usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, umeona hili, usiwe kimya. Usiwe mbali nami, Ee Bwana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, Bwana, umeona, usinyamaze; Ee Bwana, usiwe mbali nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo, usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, umeona hili, usiwe kimya. Usiwe mbali nami, Ee BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, umeona hili, usiwe kimya. Usiwe mbali nami, Ee bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, BWANA, umeona, usinyamaze; Ee Bwana, usiwe mbali nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wewe Mwenyezi-Mungu waona jambo hilo, usinyamaze, ee Mwenyezi-Mungu, usikae mbali nami.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, umeyaona, usiyanyamazie! Usinikalie mbali, Bwana wangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, BWANA, umeona, usinyamaze; Ee Bwana, usiwe mbali nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe Yawe unaona jambo hilo. Usinyamaze, ee Yawe, usikae mbali nami.