Psalms 35:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukanitetee; uje, ee Mungu wangu, uangalie kisa changu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amka, inuka unitetee! Unipiganie Mungu wangu na Bwana wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uamke, uwe macho ili kunipatia hukumu Kwa ajili ya madai yangu, Mungu wangu na Bwana wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukanitetee; uje, ee Mungu wangu, uangalie kisa changu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amka, inuka unitetee! Unipiganie Mungu wangu na Bwana wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amka, inuka unitetee! Unipiganie Mungu wangu na Bwana wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uamke, uwe macho ili kunipatia hukumu Kwa ajili ya madai yangu, Mungu wangu na Bwana wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uinuke, ee Mwenyezi-Mungu, ukanitetee; uje, ee Mungu wangu, uangalie kisa changu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amka! Inuka, uniamulie! Mungu wangu na Bwana wangu, unigombee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uamke, uwe macho ili kunipatia hukumu Kwa ajili ya madai yangu, Mungu wangu na Bwana wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uinuke, ee Yawe, unitetee; ukuje, ee Mungu wangu, uangalie maneno yangu.