Psalms 35:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee, ufanye kulingana na uadilifu wako; usiwaache maadui zangu wanisimange.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nihukumu kwa haki yako, Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, sawasawa na haki yako; usiwaache wakusimange.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unihukumu kwa haki yako, Ee Bwana, Mungu wangu, Wala wasinisimangize.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee, ufanye kulingana na uadilifu wako; usiwaache maadui zangu wanisimange.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nihukumu kwa haki yako, Ee BWANA Mungu wangu, sawasawa na haki yako; usiwaache wakusimange.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nihukumu kwa haki yako, Ee bwana Mwenyezi Mungu wangu, sawasawa na haki yako; usiwaache wakusimange.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unihukumu kwa haki yako, Ee BWANA, Mungu wangu, Na usiwaache wanisimange.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, unitetee, ufanye kulingana na uadilifu wako; usiwaache maadui zangu wanisimange.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niamulie kwa wongofu wako, Bwana Mungu wangu, wasinifurahie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unihukumu kwa haki yako, Ee BWANA, Mungu wangu, Wala wasinisimangize.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Mungu wangu, unitetee, unitendee kulingana na haki yako. Usiwaache waadui zangu wanisimange.