Psalms 35:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waache hao wanaofurahia maafa yangu, washindwe wote na kufedheheka. Hao wote wanaojiona wema kuliko mimi, waone haya na kuaibika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wanaofurahia dhiki yangu waaibishwe na wachanganyikiwe; hao wanaojiinua dhidi yangu wavikwe aibu na dharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waaibishwe, wafedheheshwe pamoja, Wanaoifurahia hali yangu mbaya. Wavikwe aibu na fedheha, Wanaojikuza juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waache hao wanaofurahia maafa yangu, washindwe wote na kufedheheka. Hao wote wanaojiona wema kuliko mimi, waone haya na kuaibika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wanaofurahia dhiki yangu na waaibishwe na wachanganyikiwe; hao wanaojiinua dhidi yangu na wavikwe aibu na dharau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wanaofurahia dhiki yangu waaibishwe na wachanganyikiwe; hao wanaojiinua dhidi yangu wavikwe aibu na dharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waaibishwe, wafedheheshwe pamoja, Wanaoifurahia hali yangu mbaya. Wavikwe aibu na fedheha, Wanaojikuza juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waache hao wanaofurahia maafa yangu, washindwe wote na kufedheheka. Hao wote wanaojiona wema kuliko mimi, waone haya na kuaibika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti watwezwe wakiumbuliwa wote pamoja waliofurahiwa na mabaya yaliyonipata, sharti wavikwe soni, nyuso ziwaive waliojikuza na kuninyenyekeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waaibishwe, wafedheheshwe pamoja, Wanaoifurahia hali yangu mbaya. Wavikwe aibu na fedheha, Wanaojikuza juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uwaache hao wanaofurahia hasara yangu, washindwe wote na kufezeheka. Hao wote wanaojiona bora kuliko mimi, wapate haya na kufezeheka.