Psalms 35:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo nami nitatangaza uadilifu wako; nitasema sifa zako mchana kutwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulimi wangu utanena haki yako na sifa zako mchana kutwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ulimi wangu utanena haki yako, Na sifa zako mchana kutwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo nami nitatangaza uadilifu wako; nitasema sifa zako mchana kutwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulimi wangu utanena haki yako na sifa zako mchana kutwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulimi wangu utanena haki yako na sifa zako mchana kutwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ulimi wangu utanena haki yako, Na sifa zako mchana kutwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo nami nitatangaza uadilifu wako; nitasema sifa zako mchana kutwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulimi wangu sharti uusimulie wongofu wako, ukusifu wewe siku zote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ulimi wangu utanena haki yako, Na sifa zako mchana kutwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi nitatangaza haki yako; nitasema sifa zako muchana kutwa.