Psalms 35:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia. Niambie mimi kwamba utaniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inua mkuki wako na fumo lako dhidi ya hao wanaonifuatia. Iambie nafsi yangu, “Mimi ni wokovu wako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia. Niambie mimi kwamba utaniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inua mkuki wako na fumo lako dhidi ya hao wanaonifuatia. Uiambie nafsi yangu, “Mimi ni wokovu wako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inua mkuki wako na fumo lako dhidi ya hao wanaonifuatia. Iambie nafsi yangu, “Mimi ni wokovu wako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chukua mkuki na sime yako dhidi ya wanaonifuatia. Niambie mimi kwamba utaniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chezesha mkuki, uwakinge wao wanikimbizao! Iambie roho yangu kwamba: Wokovu wako ni mimi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chukua mukuki na upanga wako kwa kuwazuia wale wanaonifuata. Uniambie mimi kwamba utaniokoa.