Psalms 35:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waone haya na kuaibika, hao wanaoyanyemelea maisha yangu! Warudishwe nyuma kwa aibu, hao wanaozua mabaya dhidi yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafedheheshwe na waaibishwe wale wanaotafuta uhai wangu. Wanaofanya shauri kuniangamiza wafukuzwe mbali kwa bumbuazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waone haya na kuaibika, hao wanaoyanyemelea maisha yangu! Warudishwe nyuma kwa aibu, hao wanaozua mabaya dhidi yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafedheheshwe na waaibishwe wale wanaotafuta uhai wangu, wanaofanya shauri kuniangamiza warudishwe nyuma kwa hofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafedheheshwe na waaibishwe wale wanaotafuta uhai wangu. Wanaofanya shauri kuniangamiza warudishwe nyuma kwa hofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waaibike na kufedheheka, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waone haya na kuaibika, hao wanaoyanyemelea maisha yangu! Warudishwe nyuma kwa aibu, hao wanaozua mabaya dhidi yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti watwezwe kwa kuumbuka waitafutao roho yangu, sharti warudi nyuma na kuinamisha vichwa waniwaziao vibaya;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapate haya na kuzarauliwa, hao wanaotaka kupoteza maisha yangu! Warudishwe nyuma na kufezeheka, hao wanaonitafutia hasara.