Psalms 35:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, wakikimbizwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, malaika wa Mwenyezi Mungu akiwafukuza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, wakikimbizwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, malaika wa BWANA akiwafukuza;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, malaika wa bwana akiwafukuza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa BWANA akiwaangusha chini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo, wakikimbizwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
sharti wawe kama makapi, yakipatwa na upepo, malaika wa Bwana akiwakumba, waanguke.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa BWANA akiwaangusha chini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakuwe kama maganda yanayopeperushwa na upepo, wakikimbizwa na malaika wa Yawe!