Psalms 35:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njia yao iwe ya giza na utelezi, wakifukuzwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia yao na iwe giza na ya utelezi, malaika wa Mwenyezi Mungu akiwafuatilia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njia yao iwe ya giza na utelezi, wakifukuzwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
njia yao na iwe giza na ya utelezi, malaika wa BWANA akiwafuatilia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia yao na iwe giza na ya utelezi, malaika wa bwana akiwafuatilia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa BWANA akiwafuatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njia yao iwe ya giza na utelezi, wakifukuzwa na malaika wa Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia yao sharti iwe yenye giza pamoja na utelezi, atakapowakimbiza malaika wa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa BWANA akiwafuatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njia yao ikuwe ya giza na utelezi, wakifukuzwa na malaika wa Yawe!