Psalms 35:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana walinitegea mitego bila sababu; walinichimbia shimo bila kisa chochote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa vile walinifichia wavu wao bila sababu, na bila sababu wamenichimbia shimo,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana walinitegea mitego bila sababu; walinichimbia shimo bila kisa chochote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa vile walinifichia wavu wao bila sababu, na bila sababu wamenichimbia shimo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa vile walinifichia wavu wao bila sababu, na bila sababu wamenichimbia shimo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana walinitegea mitego bila sababu; walinichimbia shimo bila kisa chochote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wamenitegea tanzi lao, linikamate, pasipo sababu yo yote, wakaichimbia roho yangu miina pasipo sababu yo yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana walinitegea mitego bila sababu; walinichimbia shimo bila neno lolote.