Psalms 35:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maangamizi yawapate wao kwa ghafla, wanaswe katika mtego wao wenyewe, watumbukie humo na kuangamia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
maafa na yawapate ghafula: wavu walionifichia na uwatege wenyewe, na waanguke katika shimo hilo, kwa maangamizi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uharibifu na umpate kwa ghafula, Na wavu aliouficha umnase yeye mwenyewe; Kwa uharibifu aanguke ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maangamizi yawapate wao kwa ghafla, wanaswe katika mtego wao wenyewe, watumbukie humo na kuangamia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
maafa na yawapate ghafula: wavu walionifichia na uwatege wenyewe, na waanguke katika shimo hilo, kwa maangamizo yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
maafa na yawapate ghafula: wavu walionifichia na uwatege wenyewe, na waanguke katika shimo hilo, kwa maangamizo yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uharibifu na umpate kwa ghafla, Na wavu aliouficha umnase yeye mwenyewe; Kwa uharibifu aanguke ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maangamizi yawapate wao kwa ghafla, wanaswe katika mtego wao wenyewe, watumbukie humo na kuangamia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na uwajie mwangamizo wa kustusha, ambao walikuwa hawaujui, nalo tanzi lao, walilolitanda, liwakamate wao; huo mwangamizo wa kustusha ukiwapata, na waangushwe nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uharibifu na umpate kwa ghafula, Na wavu aliouficha umnase yeye mwenyewe; Kwa uharibifu aanguke ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maangamizi yawapate wao kwa rafla, wanaswe katika mutego wao wenyewe, watumbukie katika shimo lao wenyewe!