Psalms 35:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu; nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo nafsi yangu itashangilia katika Mwenyezi Mungu na kuufurahia wokovu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na nafsi yangu itamfurahia Bwana, Na kuushangilia wokovu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu; nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo nafsi yangu itashangilia katika BWANA na kuufurahia wokovu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo nafsi yangu itashangilia katika bwana na kuufurahia wokovu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na nafsi yangu itamfurahia BWANA, Na kuushangilia wokovu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo mimi nitafurahi kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu; nitashangilia kwa kuwa yeye ameniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, roho yangu itakapopiga vigelegele kwa kuwa na Bwana, na kuushangilia wokovu, iliouona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na nafsi yangu itamfurahia BWANA, Na kuushangilia wokovu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi nitamufurahia Yawe; nitashangilia kwa sababu yeye ameniokoa.