Psalms 36:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uendelee kuwafadhili wale wanaokutambua; uzidi kuwa mwema kwa wanyofu wa moyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe, haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uwadumishie wakujuao fadhili zako, Na wanyofu wa moyo uaminifu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uendelee kuwafadhili wale wanaokutambua; uzidi kuwa mwema kwa wanyofu wa moyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe, haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Dumisha upendo wako kwa wale wanaokujua wewe, haki yako kwa wale walio wanyofu wa moyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwadumishie wakujuao fadhili zako, Na wanyofu wa moyo uaminifu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uendelee kuwafadhili wale wanaokutambua; uzidi kuwa mwema kwa wanyofu wa moyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ueneze wema wako kwao wakujuao nao wongofu wako kwao wanyokao mioyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uwadumishie wakujuao fadhili zako, Na wanyofu wa moyo uaminifu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe ndiwe asili ya uzima; kwa mwangaza wako tunaona mwangaza.