Psalms 36:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usikubali wenye majivuno wanivamie, wala watu waovu wanikimbize.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mguu wa mwenye kiburi usije dhidi yangu, wala mkono wa mwovu usinifukuze.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mguu wa kiburi usinikaribie, Wala mkono wa wasio haki usinifukuze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usikubali wenye majivuno wanivamie, wala watu waovu wanikimbize.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mguu wa mwenye kiburi na usije dhidi yangu, wala mkono wa mwovu usinifukuze.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mguu wa mwenye kiburi usije dhidi yangu, wala mkono wa mwovu usinifukuze.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mguu wa kiburi usinikaribie, Wala mkono wa wasio haki usinifukuze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usikubali wenye majivuno wanivamie, wala watu waovu wanikimbize.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguu yao wajivunao isinijie, wala mikono yao wasiokucha isinifukuze!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mguu wa kiburi usinikaribie, Wala mkono wa wasio haki usinifukuze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uendelee kuwatendea mema wale wanaokutambua; uzidi kuokoa wenye moyo wenye kunyooka.