Psalms 36:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbe watendao maovu wameanguka; wameangushwa chini, hawawezi kuinuka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi watenda maovu walivyoanguka: wametupwa chini, hawawezi kuinuka!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huko ndiko walikoanguka wafanyao maovu; Wameangushwa chini wasiweze kusimama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbe watendao maovu wameanguka; wameangushwa chini, hawawezi kuinuka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Angalia jinsi watenda mabaya walivyoanguka: wametupwa chini, hawawezi kuinuka!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Angalia jinsi watenda mabaya walivyoanguka: wametupwa chini, hawawezi kuinuka!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huko ndiko walikoanguka wafanyao maovu; Wameangushwa chini wasiweze kusimama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbe watendao maovu wameanguka; wameangushwa chini, hawawezi kuinuka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao wafanyao maovu itakuja siku, watakapokuwa wameanguka, watakuwa wamebwagwa, wasiweze kuinuka tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huko ndiko walikoanguka wafanyao maovu; Wameangushwa chini wasiweze kusimama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usikubali wenye majivuno wanishambulie, wala watu waovu wanikimbize.