Psalms 36:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwovu hujipendelea mwenyewe, hufikiri uovu wake hautagunduliwa na kulaaniwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa machoni pake mwenyewe hujisifu mno hata hawezi kugundua au kuichukia dhambi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hujipendekeza machoni pake Kuwa upotovu wake hautaonekana na kuchukiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwovu hujipendelea mwenyewe, hufikiri uovu wake hautagunduliwa na kulaaniwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa machoni pake mwenyewe hujisifu mno kiasi kwamba hawezi kugundua au kuichukia dhambi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa machoni pake mwenyewe hujisifu mno hata hawezi kugundua au kuichukia dhambi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana hujipendekeza machoni pake Kuwa upotovu wake hautaonekana na kuchukiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwovu hujipendelea mwenyewe, hufikiri uovu wake hautagunduliwa na kulaaniwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hujidanganya kwamba: Manza, nilizozikora, macho yake hayataziona, asichukizwe nazo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hujipendekeza machoni pake Kuwa upotovu wake hautaonekana na kuchukiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zambi inaongea na mutu mwovu, ndani kabisa ya moyo wake; kuogopa Mungu si kitu kwake.