Psalms 36:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila asemacho ni uovu na uongo; ameacha kutumia hekima na kutenda mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maneno ya kinywa chake ni maovu na ya udanganyifu, ameacha kuwa mwenye hekima au kutenda mema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maneno ya kinywa chake ni uovu na hila, Ameacha kuwa na akili na kutenda mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila asemacho ni uovu na uongo; ameacha kutumia hekima na kutenda mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maneno ya kinywa chake ni maovu na ya udanganyifu, ameacha kuwa mwenye hekima na kutenda mema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maneno ya kinywa chake ni maovu na ya udanganyifu, ameacha kuwa mwenye hekima na kutenda mema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maneno ya kinywa chake ni uovu na hila, Ameacha kuwa na akili na kutenda mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila asemacho ni uovu na uongo; ameacha kutumia hekima na kutenda mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno, ayasemayo, ni maovu, tena madanganyifu; hukataa kuonyeka, asifanye mema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maneno ya kinywa chake ni uovu na hila, Ameacha kuwa na akili na kutenda mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwovu anajipendelea mwenyewe, anafikiri uovu wake hautagunduliwa na kulaaniwa.