Psalms 36:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alalapo huwaza kutenda maovu, hujiweka katika njia isiyo njema, wala haachani na uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, hujitia katika njia ya dhambi na hakatai lililo baya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huwaza maovu kitandani pake, Hujiweka katika njia mbaya; ubaya hauchukii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alalapo huwaza kutenda maovu, hujiweka katika njia isiyo njema, wala haachani na uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, hujitia katika njia ya dhambi na hakatai lililo baya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, hujitia katika njia ya dhambi na hakatai lililo baya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huwaza maovu kitandani pake, Hujiweka katika njia mbaya; hauchukii ubaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alalapo huwaza kutenda maovu, hujiweka katika njia isiyo njema, wala haachani na uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maovu ndiyo, ayawazayo hapo, anapolala, hujisimamisha katika njia isiyo njema, nacho kilicho kibaya hana mwiko nacho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huwaza maovu kitandani pake, Hujiweka katika njia mbaya; ubaya hauchukii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila anachosema ni uovu na uongo; ameacha kutumia hekima na kutenda mema.