Psalms 36:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zako ee Mwenyezi-Mungu zaenea hata mbinguni; uaminifu wako wafika mawinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Upendo wako, Ee Mwenyezi Mungu, unafika hadi mbinguni, uaminifu wako hadi kwenye anga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, fadhili zako zafika hata mbinguni, Uaminifu wako hata mawinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zako ee Mwenyezi-Mungu zaenea hata mbinguni; uaminifu wako wafika mawinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Upendo wako, Ee BWANA, unafika hadi katika mbingu, uaminifu wako hadi kwenye anga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Upendo wako, Ee bwana, unafika hadi mbinguni, uaminifu wako hadi kwenye anga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, fadhili zako zafika hata mbinguni, Uaminifu wako hadi mawinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zako ee Mwenyezi-Mungu zaenea hata mbinguni; uaminifu wako wafika mawinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, mpaka mbinguni unafika wema wako. welekevu wako unayafikia nayo mawingu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, fadhili zako zafika hata mbinguni, Uaminifu wako hata mawinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anapolala anawaza kutenda maovu, anajiweka katika njia isiyokuwa nzuri, wala hachukii uovu.